Waislamu wamepoteza Uelekeo kutokana na baadhi yao kuacha kufuata uongozi wa Kiislamu yaani taqlid. Waislamu tunatakiwa kufuata maelekezo ya mwanazuoni miongoni mwetu ambaye ni mjuzi na mchamungu zaidi kuliko sisi. Bila shaka Mwanazuoni huyo atatuongoza na kutuondolea mizozo inayotusumbua badala ya kila muislamu kujifanya yeye mwenyewe ndiye kadhi na sheikh wa kujiongoza mwenyewe. Tabia hii ya baadhi ya waislamu imeleta maafa na mizozo mingi miongoni mwa waislamu na wasiokuwa waislamu.
Mashia bado tunao utaratibu wa Taqlid na kuna kiongozi mmoja wa dunia au kamati ya maulamaa wakuu duniani ambapo hatufanyi maamuzi wowote mpaka tuwaulize wao watoe fatwa juu ya uhalali wa malengo yetu, na kama hayataleta mzozo wa kidini au kijamii.
Suala ambalo limekosekana kwa Masunni, ndipo utawakuta wanatangaza Jihad kwa amri ya Marekani au nchi za Magharibi kwa kupewa rushwa, wanafanya maangamizi kwa waislamu na wanadamu kwa ujumla kwa madai kwamba wanaweka khilafah lakini wanaishia kuiharibu nchi na kuifanya ya kikafiri zaidi ya awali. Hii tabia isiyokuwa ya kiislamu imefanywa na watu hawa huko Libya na Misri na wanaendelea kuifanya huko Pakistan, Iraq, Yemen na Afghanistan.
Nakuombeni someni dini vilivyo kisha mtaalamu na mcha mungu mmoja miongoni mwenu duniani awe na kamati na mfanyeni kuwa Mujtahid taqlid kama sisi Mashia tunavyofanya. Ndio maana utaona mnatulipua lakini sisi tunakuwa wapole. Si kwamba sisi ni dhaifu, bali tunafuata maelekezo ya viongozi wetu na hivyo kusamehe unyama mnaotufanyia.

Comments
Post a Comment