ISRA NA MIRAJ: ADHANA

Mtume anaendelea kutuhadithia, hatimaye nilisikia sauti ya adhan ikiwa inatolewa na malaika kama ifuatavyo. Thereafter, I heard the sound of the Adhan. An Angel in the heavens was busy reciting this Adhan. And up until
now, 1 had not heard the Adhan being called out from the heavens. When he said:
 أكبر الله أكبر
Allah ni mkubwa kuliko maneno yoyote unayoweza kutumia kumsifia x2
Allah akasema mja wangu kasema kweli, mimi ni mkubwa zaidi na zaidi.

Malaika akasema:
Ashhadu anlaa ilaha illah llah x2
Ninashuhudia kuwa hakuna anayestahili kuabudiwa isipokuwa Allah X2.
Allah akasema, "mja wangu kasema kweli, hakuna mungu isipokuwa Mimi.
Kisha malaika akaendelea:
Ashhadu anna Muhammad rasulullah x2
Ninashuhudia kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah x2

Allah (SW) akasema, mja wangu kasema kweli, Muhammad ni mtumishi wangu na mtume wangu. Nimemchagua mimi kuwa Mtume.  

Kisha Uadhini aliendelea:
Haiyya lal-swalaaa x2
Njoo haraka kuswali x2
Allah (SW) akasema mja wangu kasema kweli, amekuiteni kuniabudu. Yeyote atakaye swali kwa upendo kwangu na kuwajibika ipasavyo, hiyo itakuwa kafara kwa madhabi yake yote yaliyotangulia.  

Muadhin akaendelea ,
Wahini kwenye uokovu / mafanikio x2
Allah akasema swala ni njia ya mafanikio kwa waja wangu.

Mpaka mwisho wa adhana


Soma; Bihar al-Anwar, Vol. 18, p. 330, Bab 3 - Ithbaat al-Mi`raaj wa ma`anaahu wa kayfiyyatuhu wa sifatuhu wa ma jaraa feehi wa wasf al-buraaq, Hadith 34.

Comments