Watoto wake ni kama wafuatao: 1-
Abdallah. 2- Qaasim. 3- Ibrahiim (a.s) 4- Fatimatuz
zahraa (a.s). na kuna kauli zingine zisemazo kuwa Zainab, Ruqayya, na
Ummu Kulthum ni wanawe pia (lakini watu hawa sio watoto wake bali
aliwalea kutokana na mzazi wao alikuwa ni ndugu wa mke wake kipenzi bi Khadija
bint Khuwalid).
Watoto wake wa kuzaa wote walikufa kabla ya
kufikia utu uzima, isipokuwa mtoto mmoja tu ambaye anaitwa Fatma bint
Rasulullah (s.a.w.w). bint huyu Mtukufu ndiye aliyekusudiwa na Allah katika
Surat Kawthar baada ya makafiri kumshutumu Mtume (s.a.w.w) kuwa ni tasa
kutokana na watoto wake wa kiume wote kufariki dunia.
Maliza stiria ni nzur
ReplyDelete