ALAMA ZAMAKHSHARI ATANGAZA USHIA UKO SAHIHI

Katika ukurasa wa 301 wa juzuu ya 3 ya Tafsir al-Kashshaaf iliyokusanywa chini ya maelekezo ya Sheikh Mustafa al-Halabi (toleo la pili, 1319 A.H. liliochapishwa na Main Government Printing House ya Amiriah Bulaq ya Misri), beti zinazojitokeza ambazo kwazo Jarallah Zamakhshari, mfasiri wa al-Kashshaaf, alitangaza wazi imani yake katika uhalali wa Ushia.
Lakini katika toleo la mwaka wa 1373 A.H. kutoka Printing House

Istiqamah bi ‘l-Qahara, shairi lililotajwa halionekani tena. Hivi ndivyo Uislamu sahihi umekuwa mgeni miongoni mwa watu kwa sababu kuna juhudi za makusudi na kupotosha Umma washindwe kujua kuwa Ushia ndio Madhehebu sahihi ya Kiislamu.

Comments