Amesema Mtume Mohammad (S.A.W.W), Yeyote atakayefurahishwa kuishi maisha (niliyoishi) mimi na kufa kama kifo change na kuishi ndani ya pepo ya milele, basi na amtawalishe Ali baada yangu mimi, na (pia) amtawalishe aliyetawalishwa naye, na afuate nyayo za Ahlulbayt wangu baada yangu, kwani wao ni kizazi changu. Wameumbwa kwa udongo nilioumbiwa mimi, na wamepewa fahamu yangu na elimu yangu. Ole wao wenye kupinga ubora wao katika umati wangu; wenye kukata maungamano yao kwangu, basi Mwenyezi Mungu asiwape shafaa yangu”.
Tazama:
1. Mustadrak Al-Hakim Juz. 3 uk. 128
2. Kanzul Ummal juz. 6 uk. 155
3. Al-Manaqib cha Khawarzami uk. 34
4. Yanabiul-Mawaddah uk 149
5. Hil-Yatul-Auliyaa Juz. 1 uk. 86
6. Tarikh Ibn Asakir Juz. 2 uk. 95
Hadith hii iko wazi sana na wala haikubali taawili yoyote, isipokuwa kukubali maneno ya Mtume kama yalivyo, si jingine bali kumfanya Imam Ali (a.s) kuwa khalifa wa kwanza. Na kuamini kuwa kama kuna mtu alijipachika ukhalifa baada ya kifo cha Mtume basi alifanya makosa. Hivyo tuwaombee msamaha watu wote waliochukua madaraka yasiyokuwa yao. Lakini tuendelee kufuatilia maelekezo ya Imam Ally (a.s) na kumfanya kuwa wasii wa Mtume mara moja.

Comments
Post a Comment