Bismillah Rahmanr Rahiim
Amesema Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w): "Wataletwa watu katika Umma wangu, (siku ya Kiyama) na watachukuliwa (Kupelekwa) upande wa kushoto (Motoni) niseme; Swahaba wangu! Hapo nitaambiwa: Hakika wewe hujui waliyoyazua baada yako, waliendelea kurudi nyuma tangu ulipowaacha. Nitasema kama alivyosema mja mwema, nilikuwa nikiyaona nilipokuwa nao, uliponifisha, wewe umekuwa ndiye mwangalizi wao na wewe ni Shahadi juu ya kila kitu. Ikiwa utawaadhibu wao ni waja wako, na kama utawasamehe bila shaka wewe tu mwenye ushindi mwenye hekima."
Rejea: Tafsirul Qurtubi J.6 Uk. 377
Tafsir Ibn Kathir J.2 Uk. 124 - 125
Tafsir Ibn Kathir J.2 Uk. 124 - 125
"Katika Maswahaba wangu, kuna wanafiki kumi na wawili, kati yao wanane hawaingii Peponi mpaka ngamia apite katika tundu ya Sindano.
Comments
Post a Comment