Hii
inatokana na kuitafsir vibaya Aya ya 223 katika surah ya pili ndani ya Qur’an. Watu
hawa kwa kuwa hawaijui vyema Qur’an wanaamini kuwa kumwingilia mke kinyume cha
maumbile ni halali.
Anasimulia
Naafii. Siku moja niliisoma Aya hii, Abdallah bin Umar bin Khattab akauliza:
Unajua Aya hii ilishuka kwa ajili gani? Nikajibu: La, sijui. Akasema:
"Imeshuka kwa ajili ya kuwaingilia wanawake nyuma yao."
Hii
ni kwa mujibu wa madh'hab ya Sunni.
Taz:
Tafsirut Tabari J.2 Uk. 233
Addurrul
Manthur J.l Uk. 474-475
Majmaul
Bayani J.l Uk. 565
Fat'hul
Bayani Fyi maqasidil Qur'an J.l Uk. 450
Tafsir
Gharaaibil'Qur-an J.2 Uk. 347
Tafsirul
Kabiir J.6 Uk. 71
Imepokelewa
kutoka kwa Abdallah ibn Abas (R.A) anasema kuwa siku moja Umar bin Khatab
alikwenda kwa Mtume (s.a.w.w) na kumwambia ewe Mtume nimeangamia. Mtume
akamuuliza ameangamizwa na jambo gani? Umar akasema usiku msafala wangu
ulipinda (yaani alimwingilia mke wake kwa nyuma). Mtume akamwonya kuhusu
kumwingilia mke kwa nyuma na kumwingilia mke akiwa katika hedhi.
Lakini,
fikra hii ya Umar bin Khatab, mwanae Abdallah bin Umar na Mawahhabi wengine
inapingwa vikali na wanazuoni wa kishia, wao kwa kauli moja wanasema kuwa ni
haramu.
Comments
Post a Comment