Mohammad Abdulwahabi alifunzwa dini ya Uislamu na baba yake na Masheikh wengine wa kihambali. Alizunguka maeneo mengi ya uarabuni kutafuta elimu, ilifikia wakati akakutana na majasusi wa kiingereza na huo ndio uliokuwa mwanzo wa upotoshaji wake. Majasusi wa kiingereza walimchagua yeye ili kuwasaidia katika kupunguza umoja wa waislamu ili baadaye waweze kuwapiga vita na kuwafanya kuwa koloni lao. Na hilo lilidhihiri pale ambapo umoja wa waislamu ulidhoofika sana, mizozo ikaukumba karibia kila msikiti na hatimaye waingereza na waisrael wakaisambaratisha dola ya kiislamu ya zama hizo, yaani Utawala wa Uthumaniya.
Masheikh na ndugu zake walipokuwa wakimsikiliza mazungumzo yake waligundua kuwa ni mpotoshaji mkubwa na kwamba anaongea mambo ambayo yametiwa chumvi na kuwa tofauti na mafunzo ya masheikh wake na Uislamu kwa ujumla. Hivyo baba yake na masheikh wake walikuwa wakiwatahadharisha watu wasimsikilize mpotoshaji huyo ili asije kuwapoteza. Ilifikia mahala wakawashauri waislamu wajitenge naye kabisa na wala wasikae naye.
Kaka wa Muhammad Abdul-Wahabi aliandika kitabu “Aswawaiqul-ilahiyya fi raddi alal-Wahhabiyya” ili kupinga mafundisho ya uchafuzi na uzushi ya mdogo wake. Kila alipozusha hoja ya upotovu mbele ya masheikh wake, alifedheheshwa.
Soma
1. Fitinatul Wahhabiyya uk. 4
2. Maal-Wahhabiyin fi khutwatihim waaqaidihim uk. 18

Comments
Post a Comment