NGUZO KUU YA UWAHABI NI KUCHINJA WATU

MAWAHHABI WAONGEZA NGUZO ZA KIISLAMU KUWA ZAIDI YA TANO.
Assalaam alaykum. Kaka wa sheikh wa Najdi (Mohammad Abdulwahabi), aitwaye sheikh Sulayman Abdul-Wahabi alikuwa akipinga upotofu wa mdogo wake, siku moja alimuuliza, nguzo za Uislamu ni ngapi ee Mohammad? Akajibu ni tano. Sheikh Sulayman akasema hakika wewe umeongeza ya sita kwamba mtu asiyekubali usemayo anakuwa kafiri, hii ni nguzo ya sita kwa Mawahhabi. 
Muumini mwingine alimuuliza Mohammad Abdul-wahabi, “ni waislamuwangapi Allah anawaacha huru katika kila usiku wa mwezi wa Ramadhani? Sheikh wa Najdi akasema watu laki moja na mwisho wa mwezi huwaacha huru idadi sawa na aliyokuwa akiwaacha huru kila siku. Yule muumini akamwambie Mohammad Abdulwahhabi, ikiwa Mwenyezi Mungu anawaacha huru mamilioni ya watu kiasi kama hicho, na ilihali wanaokufuata wewe hawazidi elfu kumi, basi ni waislamu gani hao wanaoachwa huru ilihali wote wasiokuamini wewe ni makafiri?
Wanavyuoni wengine walimuuliza Mohammad Abdul-Wahabi, “itikadi uliyokuja nayo inapingana na ile ya wanavyuoni wote wa kale na wa sasa, je tuseme wanavyuoni wote wamepotoka au wewe?
Mwanamke mmoja ambaye alilazimishwa kunyoa nywele na Mawahhabi, alimuuliza sheikh Muhammad Abdul-Wahabi, kwanini anyoe nywele zake ambazo ni mapambo kwa mwanamke, lakini asiwalazimishe wanaume kunyoa ndevu ambazo ni pambo kwao?
Labda mawahhabi wa sasa wana elimu kuliko sheikh wao, sheikh wa Najdi (shetani), hivyo naomba majibu kwa maswali hayo yaliyomshinda shetani huyo ambaye ninyi mawahhabi mnamwita sheikhul Islam.

Comments