SWALI LA PILI KWA MAWAHHABI NA MASALAFI
Bi Fatumah Zahra (a.s) alifariki muda
mfupi tu baada ya kifo cha baba yake (Mtume). Sayyidna Abubakar alifariki miaka
miwili na nusu baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w), Sayyidna Umar alifariki miaka
ishirini baadaye.
Cha kushangaza ni kuwa Abubakar na Umar
walizikikwa pembeni ya kaburi la Mtume, lakini Bi Fatumah mtoto wake wa pekee
aliyefikia utu uzima alizikwa mbali sana na baba yake. Kwa nini?
Je, aliomba mwenyewe azikwe mbali na baba yake? Kama ni
hivyo kwanini? Je waislamu waligoma kumzika bi Fatumah pembeni ya baba yake?
(soma Sahih al Bukhari Arabic - English Vol 5 hadith namba
546).
Comments
Post a Comment