ADHANA ILIYO SAHIHI

ADHANA ILIYO SAHIHI

Ukitaka kusali elekea kibla na usimame. Baadae Uadhini kama hivi:-
1. Allahu Akbar x4 {MWENYEZI MUNGU NI MKUBWA}

2. Ash-hadu allailahailla-Llah x2
{NAKIRI KUWA HAKUNA MOLA ILA MWENYEZI MUNGU}

3. Ash hadu anna Muhammadar Rasulullah x2
{NAKIRI KUWA NABII MUHAMMAD NI MJUMBE WA MWENYEZI MUNGU)


4. Hayya alas-Salaah x2 {NJOONI KATIKA SALA}


5. Hyya alal-Falaah x2 {NJOONI MFUZU KHERI YA DUNIA NA AKHERA}


6. Hayyaalaa Khairil-Amal x2
{NJOONI KWENYE KITENDO BORA KABISA KULIKO VITENDO VYOTE}


7. Allahu Akbar x2 (MWENYEZI MUNGU NI MKUBWA)


8. Lallaha llla-Llah x2
{HAKUNA MOLA ILA MWENYEZI MUNGU}.


Hiyo ndio adhana sahihi ya kiislamu, adhana tofauti na hiyo haikubaliwi na Allah. Yeyote anayetaka kuswali swala ya faradhi ni lazima aadhini kwanza kisha aqimu ndipo aanze kuswali.

Comments