SABABU ZA NDOA
ZILIZOELEZWA NA QUR'AN NI NNE:
(1) Kujilinda na
maradhi ya kimwili na ya kiroho na kuweka murua mwema, kwa kumfanya mtu awe na
uwezo wa kutosha kujiepusha na zinaa (sura 4:25);
(2) Kupata utulivu wa
moyo na kuwepo mwenzi mwenye mahaba, na kuwepo stara na starehe kama zinavyositiri nguo (sura 30:22 na
2:188);
(3) Kuzaa watoto na
kukuza taifa la watu (sura 2:224);
(4) Kupanua ujamaa na
nasabu (sura 25:55).
Kwa hiyo kila mtu
aliyefikia umri wa kuoa aoe mke mmoja hadi wanne kulingana na mahitaji yake
mwenyewe.
Comments
Post a Comment