Swali kwa Mashia

Swali kwa Mashia: Je, ni kweli kwamba Mashia wanavuka mpaka kwa kuwasifu Maimamu?


Jibu: Si kweli kabisa! Wao wanaitakidi kuwa hao Maimamu walikuwa waja wanyenyekevu wa Mwenyezi Mungu, na Makhalifa wa Mtume wake (s.a.w.).

Comments