SWALI KWA MASHIA
Nini itikadi ya Mashia
juu ya Bibi Fatimah Zahra, binti wa Mtume Muhammad (s.a.w.)?
Jibu la Mashia:
Wao Mashia wanaitakidi
kuwa yeye Fatuma ni Mkweli (Saddiqah) na
Johara (Taahirah); na Mwenyezi Mungu
ameteremsha aya ya Tat-hira kwa Utukufu
wake, na baba yake, wa mume wake, na wa wanawe.
Lakini Pia Mtume
amemtaja kuwa yeye ndiye mwanamke bora na mtakatifu wa umma huu. Wanawake wengine
watakatifu ni Bi Khadija binti Khuwalid, Mariam bint Imran na Asia.
Comments
Post a Comment