KAMA UNATAKA KUPENDWA NA MWENYEZI MUNGU, MSIKILIZE NA KUMFUATA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W

KAMA UNATAKA KUPENDWA NA MWENYEZI MUNGU, MSIKILIZE NA KUMFUATA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W)

Allah Anasema:
“Sema: kama mnampenda Allah, basi nifuateni mimi, Allah atakupendeni ninyi…”(3:31)

Na kuhusu Ahlul Bait Allah Anasema:
“Sema: Sikuombeni malipo yoyote kwa haya bali Mapenzi kwa Ndugu wangu wa karibu” (42:23).

Sisi Mashia tunampenda sana Mtume Muhammad (s.a.w.w), ndio maana tunampenda sana Mtume (s.a.w.w) pamoja na Ahlulbait wake.

Comments