Nini itikadi ya Mashia juu ya Qur’an?

SWALI KWA MASHIA:

Nini itikadi ya Mashia juu ya Qur’an?

Jibu: 


Mashia wanaamini kwamba Qur’ani ni Neno la Mungu, ambalo alimteremshia Mtume Wake Muhammad (s.a.w.) kuwa mwujiza na mwongozo, nayo ni kitabu chenye ukweli kisichuokuowa na uongo ndani yake, pia ni msingi wa sheria zote, kisisichoongezwa na kupunguzwa maneno yo yote yale.

Comments