Kumshukuru Mwenyezi Mungu:

Kumshukuru Mungu:

Mwenyezi Mungu amesema: "Na anayeshukuru, ana shukuru kwa manufaa ya nafsi yake {kwa ajili yake tu, na anayekufuru, kwa hakika Mola ni Mkwasi Mkarimu."  {Qur'an 4:147}.

Tena Mwenyezi Mungu amesema: "Kama mkishukuru nitakuzidishieni, na kama mkikufuru, {jueni} kuwa adhabuYangu ni kali sana." {Quran, Sura ya 14, aya ya 7}

Hivyo wanadamu wote tunatakiwa kumshukuru Allah kwa neema nyingi alizotujaalia. Ukitaka kujua kuwa Allah kakujaalia neema nyingi angalia walio chini yako kijamii, kiuchumi na kiafya. Bila shaka utagundua kuwa Allah kakufadhilisha kweli kweli. Mshukuru kwa hilo.

Comments