NINI MAANA YA ‘ISMAT?’
‘Ismat’ (Umaasumu) maana yake ni kutakasika kabisa kutokana na kila dhambi na dosari iwe ndogo au kubwa.
Ni nani Maasumu (walioatakasika na dhambi) kufuatana na itikadi ya Kishia?
Waliokuwa Maasumu ni Mitume, Manabii, Maimamu, Bibi Fatimah binti wa Mtume na Malaika, kama alivyosema Mwenyezi Mungu kuhusu Malaika: “Hawamwasi Mwenyezi Mungu kwa anayowaamrisha, na wanafanya kama wanavyoamuriwa.” (Qur’an, 66:6).
Comments
Post a Comment