DUA YA KUUOMBEA UISLAMU

DUA YA KUUOMBEA UISLAMU

Namuomba Mwenyezi Mungu auongoe umma wote wa Muhammad (s.a.w.) ili uwe ni umma bora na uongoze ulimwengu wote kwenye nuru na uongofu chini ya bendera ya Imam Mahdi anayengojewa, ambaye babu yake (Mtume Muhammad) alituahidi - ili aje aujaze ulimwengu uadilifu na usawa baada ya kuwa umejazwa dhulma na ujeuri (unaotokana na ukafiri, uwahhabi na Usalafi), na ili nuru ya Mwenyezi Mungu ipate kutimia japokuwa makafiri watachukia.

Sema: ilahi amiin

Comments