upinzani wangu kwa wapinga maulidi

Ninawashangaa watu wanaopinga kutangazwa na kusherehekewa Mtume wetu ati ni bida' wakati wakijua ibada zao zimesheheni bida' kibao. Huu kama sio unafiki ni nini?

Kama hawataki bida' waziondoe kwanza katika ibada zao.

Kwa mfano ameongeza kipengele Aswalatu khairu minna naum katika adhana ya asubuhi. Hamjaona hatari ya bida' hii bali mnamchukia tu Mtume na kuwazuia watu kumsifia.

pili hukunja mikono wakati wa kuswali wakati wakijua kuwa Mtume hakufanya hivyo. Hivi tuwaelewe vipi wanafiki hao wanajifanya kuwa ni watetezi wa Sunnahin.

Comments