MAULID
HUAMBATANA NA KUTANGAZA UISLAMU NA KUSILIMISHA WENGINE:
Assalaam
alaykum:
Katika Qur'ani Tukufu (Sura 5:67) Mwenyezi
Mungu anamwamrisha Mtume Wake (s.a.w.w.) awafikishie watu Ujumbe aliompa.
Na katika khutba yake ya mwisho, Bwana Mtume
(s.a.w.w.) alituamrisha sisi wafuasi wake tuufikishe Ujumbe huo kwa yule ambaye
haujamfikia.
Na hilo limepatikana -- na linaendelea
kupatikana -- maulidini kwa ushahidi wa rikodi ya wengi waliosilimu baada ya
kuhudhuria maulidini na kusikiliza kaswida na khutba zinazotolewa huko.
Hakika maulid ni ibada kubwa kabisa
Comments
Post a Comment