UTABIRI WA TATU WA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W) NDANI YA BIBLIA

Katika Wimbo ulio Bora (5:10) mmeandikwa “Mpenzi wangu
ni mweupe tena mwekundu - mwekundu. Ndiye mkuu katika elfu
kumi” (Biblia ya Kimvita).

Huyu aliyetajwa hapa na Nabii Suleimani aliyekuwa mkuu
katika watu elfu kumi si mwingine bali Mtume Muhammad. Maneno
ya mbele ya haya yameeleza sifa zote za mwili wa Mtume s.a.w.

kama ulivyokuwa.

Comments